Monday, April 29, 2013

Download

To Young Killer Ft Belle 9 - Dear Gambe.mp3

Powered by http://mp3sk.com/

Download new song To Young Killer ft belle9_dear gambe

http://mp3sk.com/getmp3.php?q=aHR0cDovL3RyY2tyLmh1bGtzaGFyZS5jb20vaHVsa2RsL25ncmZ2dW5uM21rZy8gdG8gWW91bmcgS2lsbGVyIGZ0IEJlbGxlIDkgLSBEZWFyIEdhbWJlLm1wMz96PTE

Download To Young Killer ft belly9 _Dear Gambe

Bofya apa chini
To Young Killer Ft Belle 9 - Dear Gambe.mp3

Powered by http://mp3sk.com/

Viini vinavyosababisha Malaria visivyo sikia dawa

Aina mpya ya viini vinavyosababisha malaria
ambavyo havisikii dawa
vimegunduliwa na wanasayansi

Viini vinavyosababisha Malaria visivyo sikia dawa

Aina mpya ya viini vinavyosababisha malaria
ambavyo havisikii dawa
vimegunduliwa na wanasayansi

Thursday, April 25, 2013

Wednesday, April 17, 2013

BIBI KIDUDE AFARIKI DUNIA

Taarifa za hivi punde ni kwamba Fatma binti Baraka au Bibi Kidude Amefariki dunia ila chanzo akijajulikana

Wednesday, April 10, 2013

MTO WA RUVU UMEJAA MAJI

Mto wa ruvu umejaa maji kutoka na mvua zinazonyesha kwa wingi huko morogoro
wakulima wa maeneo ya ruvu darajan walia mpungu umefukiwa na maji
kuna hatar ya mpunga wote kuondoka na maji

Monday, April 1, 2013

Idadi ya maiti mpaka sasa imefikia 30

Maafisa nchini Tanzania wanasema kuwa takribani maiti 30 zimepatikana kutoka kwa vifusi vya jengo lililoporomoka mjini Dar es Salaam Ijumaa.