Wednesday, May 22, 2013

Chris brown apa ajari

Mwan music wa R&N Chris brown
Alipata ajari ya gali jana May21
huko Ros Angeles
aligonga gali lingine kwa nyuma lililokua mbele yake .

Wednesday, May 8, 2013

Raisi Jakaya Mrisho kikwete amewasili Pande za Kibaha Leo

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amewasili na Ndege leo Kibaha jeshini Msangani
amekuja na Ndege kuwaaga wanajeshi wanaokwenda Kongo kwaajir ya kulinda amani
{hasso blog}