Thursday, February 28, 2013
Wednesday, February 27, 2013
Wednesday, February 20, 2013
Baadhi ya Wanafunzi waliofeli wameamua kujinyonga!
Ni matukio tofautitofauti yaliotokea sehem mbalimbali haswa Dar kwa watoto wakishua waliojiamini kua watafaulu matokeo yake wamedondokea pua
Friday, February 15, 2013
Wednesday, February 13, 2013
FACEBOOK YAVUNJA UCHUMBA WA MTU BAADA YA MESSAGE ZA MAPENZI KUNASWA
Kaka mmoja wa hapa dar ameamua kuvunja uchumba baada ya kukuta massage za mapenzi katika acount ya facebook ya mwanamke ambaye alitaka kumuoa.. Alikua tayari ameshatoa mahari lakini ilimbidi abadilishe maamuzi na kwenda kudai mahari yake!
Monday, February 11, 2013
Watu 100 wauwawa Sudan Kusin
Umoja wa mataifa wasema mauaji makubwa kabisa yametokea Sudan Kusini tangu kupata uhuru miaka miwili iliyopita
Papa benedict ajiuzulu
Waziri mkuu wa italia, Mario Monti akizungumza baada ya kupokea habar za kujiuzulu kwa papa benedict, Amesema ameshtushwa na tukio hilo
PENNY DIAMOND MAPENZ WAZI WAZI
Diamond kwa sasa ameamia kwa Penny mazima
katika show ya kigamboni walionyesha mapenz yao mbele ya mashabiki wao
akiwemo mama mzazi wa diamond
katika show ya kigamboni walionyesha mapenz yao mbele ya mashabiki wao
akiwemo mama mzazi wa diamond
Habari zenu wapendwa
Kua mjanja kupata habari mbalimbali za nje na ndani
na utaweza ku downlod nyimbo mbalimbali
:ASANTENI
na utaweza ku downlod nyimbo mbalimbali
:ASANTENI
Sunday, February 10, 2013
Majibu ya kidato cha nne yanatoka leo
Majibu yakisubiliwa kwa hamu kubwa
leo ndo yanategemea kutoka, tutawaletea muda c mrefu
leo ndo yanategemea kutoka, tutawaletea muda c mrefu
Subscribe to:
Posts (Atom)