FACEBOOK YAVUNJA UCHUMBA WA MTU BAADA YA MESSAGE ZA MAPENZI KUNASWA
Kaka mmoja wa hapa dar ameamua kuvunja uchumba baada ya kukuta massage za mapenzi katika acount ya facebook ya mwanamke ambaye alitaka kumuoa.. Alikua tayari ameshatoa mahari lakini ilimbidi abadilishe maamuzi na kwenda kudai mahari yake!
No comments:
Post a Comment