Saturday, July 27, 2013

Tunda man ameimba Qaswida, Sikiliza na Kudownload hapa

Kamatia ngoma mpya ya Berry black ft Alikiba _ ishara zangu

Bonge la Ajari imetokea kibaha maili moja


gali ndogo aina ya suzuki ilikua inaipita gali jingine aina ya scania
kabla aijaludi katka njia yake
ikagongana uso kwa uso na Scania, gali ndogo ikaingizwa uvunguni kisha gali kubwa ikagongana na gali jingine,
deleva wa gali ndogo amefaliki papo hapo na mejeluhi kazaa wamepelekwa hospital Tumbi.
tutaendelea kuwajuza

Friday, July 19, 2013

serikari ya DRc inafanya vizuri mjini goma

.Hapo jana jeshi la DRC lilitoa taarifa kua kwa sehemu kubwa wamefanikiwa kuwaludisha nyuma kundi la M23.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Bin Ki Moon amewaeleza FRDC kwamba wazingatie haki za binadamu wasizidhalilishe maiti za M23
wala kuwanyanyasa mateka waliokamatwa.

Saturday, July 13, 2013

Jeshi la polisi limepeleka askari Afrika kusini

Jeshi la polisi limepeleka askari Afrika kusini, kuwahoji AGNES na Melisa waliokamatwa na madawa ya kulevya
jeshi la polisi nchini linaendelea na uchunguzi wake juu ya tukio la wasichana wawili ambao ni laia wa Tanzania
waliokamatwa ijumaa july5 katika uwanja wa ndege wa kimataifa nchini A.kusini kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya Crystal

Thursday, July 11, 2013

Maendeo ya Nelson mandela kdogo afadhari

Nelson Mandela anaendelea vizur kdogo
japo hali yake bado sio nzuri sana ila inatia moyo tofauti na zamani

Wednesday, July 10, 2013

Z-Anto Afiwa na mama yake Mzazi


Msanii Ally Mohamed au Z-ANTO Amefiwa na Mama yake mzazi kwa niaba ya timu mzima ya Blog hii tunatoa pole
kwa Z-ANTO
mungu amjaze imani
kwa kipindi hiki cha majonzi

Monday, July 8, 2013

Ndege ya Raisi wa somalia yashika moto

Ndege iliyokua inambeba raisi wa somalia, imelazimika kutua kwa dharura mjini Mogadishu baada ya moja ya mabawa yake kushika moto

Thursday, July 4, 2013

CAMEROON IMEFUNGIWA NA FIFA

Cameroon imefuniwa kwa muda na FIFA kufuatia serikari ya nchi hiyo kujiingiza katika masuala ya chama cha soka nchini humo

Wednesday, July 3, 2013

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

TIMU ya Simba SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma Kaseja.
Simba SC kupitia kwa Mwenyekiti wake wa kamati ya usajili, Zacharia Hans Pop, umetangaza kuachana na kipa huyo ambaye ni nahodha wa Timu ya Taifa, Taifa stars.
JE, SIMBA SC kuachana na nahodha wa Taifa Stars ambaye bado anaonekana ni kipa mahili ni sahihi? Au kuna kitu ndani yake?

Tuesday, July 2, 2013

Umoja wa matafa wasikitishwa na kupungua kwa walinda amani kwenye mpaka wa Syria na Israel

SYRIA:
kikosi hicho cha Umoja wa Mataifa cha UNDOF
Kilichopo kwenye mpaka tete wa Syria na Israel kimeshuhudia idadi ya wanajeshi wake wakipungua na kufikia 530
kutoka 1050 baada ya Japan na Croatia kuondoa vikosi vyao.

Liverpool wamsajili kolo Toure

Klabu ya liverpool imekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa ivory cost Kolo Toure kutoka Manchester City.

Familia ya Mandela yazozana kuhusu Makaburi

Familia ya Mandela imemshtaki mjukuu wa Mandela, Mandia
katika juhudi za kutaka kufukua maiti za wanawe Mandela ili wawazike katika Makaburi ya Qunu. Ambako mandela anakataa kuzikwa.

Waathiriwa wa mashambulizi ya 1998 wakumbukwa TZ


Raisi Barack Obama amewakumbuka waathiriwa wa mashambulizi ya mabomu dhidi ya ubalozi wa Marekani nchini Tanzania mwaka 1998

Sherehe ya siku ya kuzaliwa mandela kupangwa

Rais wa Afrika. K Jacob Zuma ameambia taifa hilo lianze kujiandaa kwa sherehe za siku ya kuzaliwa ya Mandela tarehe 18 mwezi julai.