TIMU ya Simba SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma Kaseja.
Simba SC kupitia kwa Mwenyekiti wake wa kamati ya usajili, Zacharia Hans Pop, umetangaza kuachana na kipa huyo ambaye ni nahodha wa Timu ya Taifa, Taifa stars.
JE, SIMBA SC kuachana na nahodha wa Taifa Stars ambaye bado anaonekana ni kipa mahili ni sahihi? Au kuna kitu ndani yake?
No comments:
Post a Comment