Wednesday, February 27, 2013

Naj ft. ngwea-Naj

Naj ft. ngwea-Naj

MCHECK 50 cent akiojiwa

  •                                                                                                                                                                                                                                                                                                                    

MCHECK 50 cent akiojiwa

  •                                                                                                                                                                                                                                                                                                                    

MCHECK 50 cent akiojiwa

  •                                                                                                                                                                                                                                                                                                                    

Check vidio kali

diamond kesho

Check vidio kali

diamond kesho

Mkali Ndiyanka msanii kutoka Kibaha, katikati akiwa na T,I & Rickros,

wasanii hao wakiwa wanaelekea kwenye show

Mkali Ndiyanka msanii kutoka Kibaha, katikati akiwa na T,I & Rickros,

wasanii hao wakiwa wanaelekea kwenye show

Namkubali sana Dj mkali wa apa jijini, anaitwa Dj Fetty

Namkubali sana Dj mkali wa apa jijini, anaitwa Dj Fetty

Habari zenu wasomi wa blog

mcha huu uwe mzuri kwenu

Habari zenu wasomi wa blog

mcha huu uwe mzuri kwenu

Wednesday, February 20, 2013

Baadhi ya Wanafunzi waliofeli wameamua kujinyonga!

Ni matukio tofautitofauti yaliotokea sehem mbalimbali haswa Dar kwa watoto wakishua waliojiamini kua watafaulu matokeo yake wamedondokea pua

Wednesday, February 13, 2013

HAPPY VALENTINE FOR ALL

FACEBOOK YAVUNJA UCHUMBA WA MTU BAADA YA MESSAGE ZA MAPENZI KUNASWA

Kaka mmoja wa hapa dar ameamua kuvunja uchumba baada ya kukuta massage za mapenzi katika acount ya facebook ya mwanamke ambaye alitaka kumuoa.. Alikua tayari ameshatoa mahari lakini ilimbidi abadilishe maamuzi na kwenda kudai mahari yake!

Monday, February 11, 2013

Watu 100 wauwawa Sudan Kusin

Umoja wa mataifa wasema mauaji makubwa kabisa yametokea Sudan Kusini tangu kupata uhuru miaka miwili iliyopita

Papa benedict ajiuzulu

Waziri mkuu wa italia, Mario Monti akizungumza baada ya kupokea habar za kujiuzulu kwa papa benedict, Amesema ameshtushwa na tukio hilo

PENNY DIAMOND MAPENZ WAZI WAZI

Diamond kwa sasa ameamia kwa Penny mazima
katika show ya kigamboni walionyesha mapenz yao mbele ya mashabiki wao
akiwemo mama mzazi wa diamond

Jaman anaetaka majibu ya form4 haya apa

Click apo chini

Habari zenu wapendwa

Kua mjanja kupata habari mbalimbali za nje na ndani
na utaweza ku downlod nyimbo mbalimbali
:ASANTENI

: HAWA NDIO WASANII WATANO BONGO MATAJIRI

CHUMA BLOG: HAWA NDIO WASANII WATANO BONGO MATAJIRI

NOLNIZ: Download | Benjamini wa Mambo Jambo - Scandal [Audio]

NOLNIZ: Download | Benjamini wa Mambo Jambo - Scandal [Audio]

NOLNIZ: Download | Benjamini wa Mambo Jambo - Scandal [Audio]

NOLNIZ: Download | Benjamini wa Mambo Jambo - Scandal [Audio]

Sunday, February 10, 2013

Majibu ya kidato cha nne yanatoka leo

Majibu yakisubiliwa kwa hamu kubwa
leo ndo yanategemea kutoka, tutawaletea muda c mrefu