Friday, March 29, 2013

Sheta ft Rich mavoco -Sio masihara

Huko Bollywood/ Sunny Deol atoa filamu mpya

Muigizaji wa Bollywood Sunny Deol
ametoa movie mpya inayoitwa Yamla Pagla Deewana 2.
Amecheza na mke wake Linda na mtoto wake wa kiume,
hadisi inahusu Uingeleza recession.

Thursday, March 28, 2013

Kijana Nick D'Aloisio apa mamilioni ya fedha

Kampuni ya yahoo imenunu programu tumishi ya simu ya mkononi
kwa mamilioni ya fedha
iliyovumbuliwa na kijana Nick D'Aloisio

Monday, March 25, 2013

Atimaye kajara atoka jela

Ni baada ya kusomewa hukumu na kutakiwa aende jela mia 5 au alipe milioni 13
kwa bahati Wema Sepetu amejitolea kumlipia kajara

Thursday, March 21, 2013

JUSTIN TIMBERLAKE - SUIT & TIE ( AEROPLANE REMIX )

JUSTIN TIMBERLAKE - SUIT & TIE ( AEROPLANE REMIX )

Download (audio) Shah bang ft Bonta & G Nako _ Ongea kitu

Bofya apa chini

Download Grey Baby boy & Soprano _ nimechoka

Bofya apa chini

Download Keem ft China- tikisa

Bofya apa chini

Download Double k ft Sumila _Nisamehe

Bofya apa chini

Download new song> MATONYA _SEMBULE

Bofya apa chini

Download New hit Jan b ft Sayen _MAN' ME

Bofya apa chini

Download New hit Jan b ft Sayen _MAN' ME

Download New hit Jan b ft Sayen _MAN' ME

Bofya apa chini

Download LANGA _I am Supplying

Bofya apa chini

Download Jaykar ft Double k- hisia za moyoni

Bofya apa chini

Tuesday, March 19, 2013

Sunday, March 17, 2013

Mwanajeshi wa somalia auwawa Mali

Ufaransa yasema mwanajeshi wake mmoja
ameuwawa kwenye mripuko kaskazini mwa Mali

Mwandishi wa habari wa Somalia aachiliwa

Mwandishi wa habari aleyeripoti juu ya mwanamke aleyebakwa na wanajeshi, afutiwa mashtaka

WANACHAMA WA MDC WAKAMATWA ZIMBABWE

Maafisa waandamizi wa chama cha MDC cha Waziri mkuu Morgan Tsvangirai
wakamatwa baada ya kura ya maoni kuhusu katika mpya

Friday, March 15, 2013

Hasso blog/ Download Pitbull and Timbaland mix by dj x name

Bofya apa chini

Hassopairoti blog/ Download Rickros new song

Download new song. NAY FT DIAMOND _ Muziki gan

Download Ney ft diamond. /hassopairoti.blogspot.com

Download

Download ney ft diamond _musik gan

Katiba mpya Zimbabwe? Kura yafanyika leo

Zimbabwe imapiga kura za maoni hii leo kwa kielelezo cha katiba.
Hata hivyo wasiwasi waelezewa juu ya maandalizi ya kura hiyo.

Download Audio) Nay wa mitego ft Diamond Platnumz - Muziki Gani

BONGO STAR LINK: (Audio) Nay wa mitego ft Diamond Platnumz - Muziki Gani

Friday, March 8, 2013

Kampuni ya Microsoft matatani

Kampuni ya Microsoft imetozwa faini ya dola milioni 731
kwa kutowapa watumiaji uwezo wa kuchagua mfumo wa internet

Thursday, March 7, 2013

Kabla ya kuamka kumbuka kumuomba Mwenyezi Mungu /Jikumbushe na Hasso

Jambo muhimu kila ukiamka kabla hujafanya lolote
unatakiwa kumuomba Mungu
ili akufanyie wepesi kwa kila jambo unalotaka kulifanya,

Mazoezi kabla ya kifungua kinywa /JIKUMBUSHE NA HASSO

Mazoez ni muhimu sana, unashauliwa kufanya mazoezi kabla ya kifungua kinywa
yani pale tumbo linapokua tupu, unatakiwa kufanya mazoez ya viungo kwa ajili ya afya yako..

Monday, March 4, 2013

Wakenya wapiga kura ya aina yake

Wakenya wangali wanapiga kura licha ya muda wa mwisho wa shughuli hiyo ni saa kumi na moja jioni kutimia

Friday, March 1, 2013

Usiiangalie JANA kwa Hasira wala kesho kwa WOGA Bali itazame LEO kwa HEKIMA na BUSARA

Maisha ni kama kitabu, kila unapoamka unafunguka ukulasa mpya. Na yanaandikwa matendo yako yote..

Mpaka sasa umeshaandika kurasa kibao
Mwenyez mungu pekee ndiye anayejua zimebaki kulasa ngapi..
Kurasa zikiisha kitabu kitafungwa na umaut utakufika na kesho kiama utahesabiwa matendo yako. Na utahukumiwa.
Je umejiandaaje?

Soma kipimo cha mapenzi apo chini by hassopairoti.blogspot.com


Kwa mwanaume kujua kama unapendwa ni kupewa penz kila unapoitaji bila longolongo,
na kwa mwanamke kujua kama unapendwa ni kutimiziwa mahitaji yako kila unapohitaji bila longolongo....