Sunday, March 17, 2013

WANACHAMA WA MDC WAKAMATWA ZIMBABWE

Maafisa waandamizi wa chama cha MDC cha Waziri mkuu Morgan Tsvangirai
wakamatwa baada ya kura ya maoni kuhusu katika mpya

No comments:

Post a Comment