Sunday, March 10, 2013

KUNA WIZI MPYA WA PASWORD KWENYE MA INTERNET CAFE

Kuna Wizi mpya kwenye ma internet cafe..
Ukiingia internet cafe
wanategesha kadude kipo kwa nyuma
ambacho kipo kama memory ambayo ina hifadh data zote utakazotumia
mwanzo adi mwisho.
Yani inachukua pasword za email au za bank.

No comments:

Post a Comment