Friday, March 29, 2013

Huko Bollywood/ Sunny Deol atoa filamu mpya

Muigizaji wa Bollywood Sunny Deol
ametoa movie mpya inayoitwa Yamla Pagla Deewana 2.
Amecheza na mke wake Linda na mtoto wake wa kiume,
hadisi inahusu Uingeleza recession.

No comments:

Post a Comment