Friday, March 1, 2013

Maisha ni kama kitabu, kila unapoamka unafunguka ukulasa mpya. Na yanaandikwa matendo yako yote..

Mpaka sasa umeshaandika kurasa kibao
Mwenyez mungu pekee ndiye anayejua zimebaki kulasa ngapi..
Kurasa zikiisha kitabu kitafungwa na umaut utakufika na kesho kiama utahesabiwa matendo yako. Na utahukumiwa.
Je umejiandaaje?

No comments:

Post a Comment