Saturday, March 2, 2013

FIKILIA KABLA YA KUTENDA -Leo ktk ZINGATIA Na Hassopairoti

Karibu katika kipengele kipya cha Zingatia na Hassopairoti,
najua wengi tunajisahau kwahyo hiki kipengele kitakua kinatukumbusha mambo mbalimbali
>leo tuzingatie
Kufikilia kabla ya kutenda
_watu wengi wanafanya mambo yao bila kufikia umuhimu wake
matokeo yake wanajikuta wamepata hasara au wamepoteza muda bila faida,
Ni muhimu sana kufikilia kabla ya kutenda
~by. Hasso

No comments:

Post a Comment